JICHO LA WANJIKU

Rais wa awamu ya tano William ruto ametibitisha kuwa katika awamu ya pili baada ya nyenye na mstafu raisi wa awamu ya inne uhuru Kenyatta hawakuwa pamoja. Imebainika kwamba badhi ya kauli alizokuwa akizinena raisi William ruto wakati wa kampeni kabla ya uchanguzi wa agositi 9 2022 ni kauli ambazo zilikuwa za ukweli kutokana na uwongozi wake mabao kwa sasa anatimizi majumwa Zaidi ya 3.

Siku ya shehere ya kuapiswa kwake raisi William ruto alimamuru kurengesha mamlaka ya badari ya Mombasa. Kauli iliyokuwa ikikosolewa na viongozi wengi walikuwa katika murengo wa azimio la umoja hususani viongozi wa maeneo ya pwani.

Kurengeshwa kwa mamulaka ya badari ya Mombasa ni ishara tosha ya kuonyesha kwamba raisi William ruto wakati wa kutekelewazwa kwa mamlaka ya kupelekwa kwa shughuli za badari ya Mombasa eneo la naivasha hakubaliana nayo.

Licha ya hayo ,raisi William ruto alipomhakikishia naibu wake kuwa majukumu yake yatawekwa wazi kwa mjibu wa katiba ya kenya na kumuekea mkenya uwazi wa makujua ya naibu wake. Hali hiyo  inaonyesha kwamba raisi William ruto baada ya salama za maridhiano kati ya raila odinga na uruhu alikuwa kwa mamlaka ila hakuwa na mamlaka ya kutekeleza lolote ile.

Kwa hivyo wewe kama wanjiku ni jukumu lako kutamini na kunakili kila kiongozi ulichangua na kuhakisha ya kwamba anatekeleza majukumu yake kulingana na katiba ya kenya.

 

Comments

Post a Comment