JICHO LA WANJIKU
Rais
wa awamu ya tano William ruto ametibitisha kuwa katika awamu ya pili baada ya
nyenye na mstafu raisi wa awamu ya inne uhuru Kenyatta hawakuwa pamoja. Imebainika
kwamba badhi ya kauli alizokuwa akizinena raisi William ruto wakati wa kampeni
kabla ya uchanguzi wa agositi 9 2022 ni kauli ambazo zilikuwa za ukweli
kutokana na uwongozi wake mabao kwa sasa anatimizi majumwa Zaidi ya 3.
Siku
ya shehere ya kuapiswa kwake raisi William ruto alimamuru kurengesha mamlaka ya
badari ya Mombasa. Kauli iliyokuwa ikikosolewa na viongozi wengi walikuwa
katika murengo wa azimio la umoja hususani viongozi wa maeneo ya pwani.
Kurengeshwa
kwa mamulaka ya badari ya Mombasa ni ishara tosha ya kuonyesha kwamba raisi William
ruto wakati wa kutekelewazwa kwa mamlaka ya kupelekwa kwa shughuli za badari ya
Mombasa eneo la naivasha hakubaliana nayo.
Licha
ya hayo ,raisi William ruto alipomhakikishia naibu wake kuwa majukumu yake
yatawekwa wazi kwa mjibu wa katiba ya kenya na kumuekea mkenya uwazi wa makujua
ya naibu wake. Hali hiyo inaonyesha
kwamba raisi William ruto baada ya salama za maridhiano kati ya raila odinga na
uruhu alikuwa kwa mamlaka ila hakuwa na mamlaka ya kutekeleza lolote ile.
Kwa
hivyo wewe kama wanjiku ni jukumu lako kutamini na kunakili kila kiongozi
ulichangua na kuhakisha ya kwamba anatekeleza majukumu yake kulingana na katiba
ya kenya.
Kaz safi👌
ReplyDeleteKazi nzuri
ReplyDeleteGood work
ReplyDeleteAu sio.. Aminia mtemi🔥🔥🔥💯
ReplyDeleteGood bro
ReplyDeleteNoted👍❤️
ReplyDeleteTop
ReplyDeleteSasawa
ReplyDeleteKazi safi kabisa
Nyc
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeleteSerikali Mpango Mzima
ReplyDeleteKazu safi
ReplyDeleteGood work
ReplyDeleteKazi safii
ReplyDelete