Posts

Showing posts from October, 2022

UMUHIMU WA MIKOKO

Ingawa mazingira ya mikoko yana thamani kubwa kwa jamii za pwani na spishi zinazohusiana, zinaharibiwa kwa viwango vya kutisha. Vitisho vifuatavyo vinachangia upotezaji mkubwa wa mikoko ulimwenguni: ufugaji samaki wa kamba, uzalishaji wa mkaa na ukataji miti, utafutaji wa mafuta na uchimbaji, utalii, ukuaji wa miji na upanuzi wa miji, na ukuzaji wa bandari na barabara. Leo, chini ya nusu ya msitu wa asili wa mikoko duniani unabaki. Asilimia 50% ya uharibifu wa mikoko katika miaka ya hivi karibuni imekuwa kutokana na kukata wazi kwa mashamba ya kamba. Marejesho ya kioevu imekuwa kutambuliwa kama njia ya marejesho ya mangrove yenye ufanisi zaidi na yenye gharama nafuu. Kuna aina mbili kuu za marejesho ya hydrological: 1) kurejesha hidrolojia ya maji kwa njia ya kuchimba au kurudi nyuma, na 2) kuunganisha maeneo yaliyozuiwa kwenye mvuto wa kawaida.  Kanuni za urejesho wa mikoko ya mafanikio ni pamoja na vitendo vifuatavyo: Kuamua sababu au sababu za kifo au kutoweka kwa mikoko ku...

SHULUHU YA AJIRA MOMBASA

Wakaazi wa kaunti ya Mombasa baada you a awamu ya pili ya uwongozi wa msatafu raisi Uhuru Kenyatta a na Raisi William Ruto aliyekuwa naibu wake , uwongozi wao ndio ulibadili mikakati ya shughuli za badari ya Mombasa na kusababisha ukosefu wa ajiri katika kaunti hiyo. Mikakati walioyo ibadi wakati huo ni kama uchukuzi wa mzingo yote inayotoka badari hiyo kubebwa na reli ya kisasa. Hali iliyochanjia sana ukosefu wa ajira kwa watu wasekta mbalimbali. Baada ya awamu hiyo kuisha na uchanguzi kufanyika Raisi William Ruto aliregesha mamlaka ya badari tena Mombasa . hali ambayo itawezesha ongezeko la ajria kwa waakazi wa Mombasa . Kutokana na ajira amabayo watu wamekuwa akililia kwa siku nyingi kwa serekali ya kitaifa ila ikawa kama mpinga gita alijihushisha na kupingia mbuzi gitaa hilo. Viongozi na mashirika ya kutetea haki za binadhamu hawakuwachwa nyuma kwani ni jukumu lao kuhakikisha kwamba sereka inawajibika vilivyo kuimarisha maisha ya insani wa kisiwa cha Mombasa. Kwani madereva,wami...
             MAPENZI HAYANA MJUZI Vijana ijana wengi waliojiunga na chuo kikuu hujitisa katika bahari ya mapenzi wakati usiofaa na kusahau lengo lililowapeleka chuoni. Hawakukosea waliposema kuwa mapenzi ni matamu na ni machungu pia na mapenzi yanauwa. kwani hawa kukosea waliposema kuwa mapenzi hayana mjuzi na hayana mwenywe.  Mwengine huyalinganisha mapenzi na pesa na kusema kuwa aliyevumbua yanimtenda ja aliyea vumbua hela alielekea ahera akiwa masikini. Mapenzi kwangu mimi na yamenitesa na kunifanya kuyachukia kabla ya kuanza ipaswahivyo. Najua wajiuliza niliyachukia na kunitesa kivipi wakati sijayanza mapenzi hayo. Acha nijukujuze kisa chakunifanya kiyachukia mapenzi na kunifanya nitesekea. Mimi ni kati ya wale wanafunzi waliojiunga na chuo kikuu na kuyajua mapenzi kupitia shoga zetu tuliokuwa tuna wamini kwa kila hali na kwa kila atakachokesema huku tukisahau yote ambayo wavyelea wetu walitusihi kabla ya kujiunga na chuo kikuu. Tulianza kuj...
  Msitafu gavana wa kaunti ya Mombasa alimarufu 001, Ali Hassan Joho ni kati ya magavana hapa inchini waliokuwa wakipenda mziki. Kwani kuna badhi ya viongozi walikuwa wakimita kwa jina Catherina. Catherina ni jina la nyimbo iliyokuwa ikizumu na kupendwa na kila mtu hapa Africa Mashariki. Wanjiku alipofahamu kuwa gavana huyo ni kipenzi wa mziki basi hakuchelewa kwani alimuendea na kuomba kumshika mkono vijana waliona na vipaji. Ila palipo na shwari hapa kosi shari. Baadhi ya wanamziki wa eneo la pwani waliokuwa wakiomba msada wa kujiendeleza kimziki walikashifu sana mradi huo. Na kusema kuwa wasimamizi walioteuliwa na gavana huyo walikuwa wanaubaguzi. Kwani walichangua watu walio na ukaribu nao. Ila wahusika waliposikia kauli hizo za badhi za wanamziki hao walikuwa wakisema kuwa kila mtu huwa na bahati yake na kaunti ya mombasa ni kubwa na iko na vijana wengi walio na vijapi wanaotafuta msada na kwa kuwa ni wengi basi itakuwa vingu sana kwa kila mwanamziki wa kaunti hiyo kunufai...
 JICHO LA WANJIKU Rais wa awamu ya tano William ruto ametibitisha kuwa katika awamu ya pili baada ya nyenye na mstafu raisi wa awamu ya inne uhuru Kenyatta hawakuwa pamoja. Imebainika kwamba badhi ya kauli alizokuwa akizinena raisi William ruto wakati wa kampeni kabla ya uchanguzi wa agositi 9 2022 ni kauli ambazo zilikuwa za ukweli kutokana na uwongozi wake mabao kwa sasa anatimizi majumwa Zaidi ya 3. Siku ya shehere ya kuapiswa kwake raisi William ruto alimamuru kurengesha mamlaka ya badari ya Mombasa. Kauli iliyokuwa ikikosolewa na viongozi wengi walikuwa katika murengo wa azimio la umoja hususani viongozi wa maeneo ya pwani. Kurengeshwa kwa mamulaka ya badari ya Mombasa ni ishara tosha ya kuonyesha kwamba raisi William ruto wakati wa kutekelewazwa kwa mamlaka ya kupelekwa kwa shughuli za badari ya Mombasa eneo la naivasha hakubaliana nayo. Licha ya hayo ,raisi William ruto alipomhakikishia naibu wake kuwa majukumu yake yatawekwa wazi kwa mjibu wa katiba ya kenya na kumuek...