MAPENZI HAYANA MJUZI
Vijana ijana wengi waliojiunga na chuo kikuu hujitisa katika bahari ya mapenzi wakati usiofaa na kusahau lengo lililowapeleka chuoni. Hawakukosea waliposema kuwa mapenzi ni matamu na ni machungu pia na mapenzi yanauwa. kwani hawa kukosea waliposema kuwa mapenzi hayana mjuzi na hayana mwenywe.
Mwengine huyalinganisha mapenzi na pesa na kusema kuwa aliyevumbua yanimtenda ja aliyea vumbua hela alielekea ahera akiwa masikini. Mapenzi kwangu mimi na yamenitesa na kunifanya kuyachukia kabla ya kuanza ipaswahivyo. Najua wajiuliza niliyachukia na kunitesa kivipi wakati sijayanza mapenzi hayo.
Acha nijukujuze kisa chakunifanya kiyachukia mapenzi na kunifanya nitesekea. Mimi ni kati ya wale wanafunzi waliojiunga na chuo kikuu na kuyajua mapenzi kupitia shoga zetu tuliokuwa tuna wamini kwa kila hali na kwa kila atakachokesema huku tukisahau yote ambayo wavyelea wetu walitusihi kabla ya kujiunga na chuo kikuu.
Tulianza kujifunza utumiaji wa vileo vya hali ya juu na baada ya hayo mapenzi nayo yakatulaki yakawa kama kiamsha kinywa ambacho huwezi kufurahi pasipo na kisndikizio chake kama vile bajia wa viazi kari na vingine kwa wale watu wa pwani wavyojua kuvipika kwa ajili ya kiamshwa kinywa. Nilikuwa mtu ambaye siezi kosa mighahawani kila mwisho wa wiki hali iniliyo nifanya kuwabali wakina dada ja nguo na pasipo kujali kulinganisha umri wangu wanao. Naulifikia wakati nikawa basi sisemezeki wala kuyasikia ya yoyote yule. mwisho wa siku kitu nilichojaliwa ni jeraha la moyo kwani ilifikia wakati nilipofaulu kuwahi kidosho alikuwa ameuwahi mtima wangu.
Ni msichana ambaye kila mtu alimtamani ila kwakuwa alikuwa ameamua kuekeza moyo wake kwangu na kunigawiya mapenzi yake hayo niliyasahau na kujipinga kifua kuwa nakumuonyesha kuwa mimi ni mwelendi wa mapenzi na kusahu kuwa hakuna mwelendi wala fundi wa mapenzi.
Aliamua kuvumilia ila kuna wakati aliamua kufata zake. baada ya muda mchache hali nilibadili na nikamua kuwa kiumbe kipia ila kumrengesha ila nilishindwa kutokana na mazoea niliyokuwa nayo ya mapenzi ya kiholela nilikuwa nimejifunza.
Vizuri
ReplyDeleteKitu yenye🔥🔥
ReplyDeleteNice
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeleteVery nice my guy Jomba
ReplyDelete⭐⭐⭐⭐
ReplyDeleteKwelii
ReplyDeleteUkweli mtupu kaka
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeleteKweli👌
ReplyDeleteTrue
ReplyDelete