Msitafu gavana wa kaunti ya Mombasa alimarufu 001, Ali Hassan Joho ni kati ya magavana hapa inchini waliokuwa wakipenda mziki. Kwani kuna badhi ya viongozi walikuwa wakimita kwa jina Catherina. Catherina ni jina la nyimbo iliyokuwa ikizumu na kupendwa na kila mtu hapa Africa Mashariki.

Wanjiku alipofahamu kuwa gavana huyo ni kipenzi wa mziki basi hakuchelewa kwani alimuendea na kuomba kumshika mkono vijana waliona na vipaji. Ila palipo na shwari hapa kosi shari. Baadhi ya wanamziki wa eneo la pwani waliokuwa wakiomba msada wa kujiendeleza kimziki walikashifu sana mradi huo. Na kusema kuwa wasimamizi walioteuliwa na gavana huyo walikuwa wanaubaguzi. Kwani walichangua watu walio na ukaribu nao.

Ila wahusika waliposikia kauli hizo za badhi za wanamziki hao walikuwa wakisema kuwa kila mtu huwa na bahati yake na kaunti ya mombasa ni kubwa na iko na vijana wengi walio na vijapi wanaotafuta msada na kwa kuwa ni wengi basi itakuwa vingu sana kwa kila mwanamziki wa kaunti hiyo kunufaika na mradi huo.

Kwakuwa sasa kaunti ya Mombasa imekuwa na gavana mwengine wanjiku anasema kuwa mradi huo hautakuwa na muelekeo kwani ulikuwa ni mradi ulikuwa ukitumia fedha za wanjiku, na sasa muanzilishi wa mradi huyo hauko mamlakani umefikia kikomo.

Kauli za wanjiku zilipowafikia wa husika wa mradi huyo walimjibu wanjiku na kusema kuwa”mradi huo ulikwa na gavana joho binafsi sio mradi wa kiserekali kwa hivyo bado uko na utaendlea kuwepoa.”

Comments