AUSHI YA CHUO KIKUU
Ni furaha ya kila mzazi ufikapo wakati wa mwanawe kumaliza masomo ya shule ya upili na kujiunga na masomo ya taluma. Masomo hayo hapa inchini hufunzwa katika chuo cha kiufundi au kiuu. Wakati huu huwa ni wakati ambao kila mzazi huwakitesha kitako watoto wao juu ya maisha na nijisi ipi ambayo kama mtoto wa kike au mue ni nijsi ipi anapwaswa kujilinda na kile ambacho ni kii kwake.
Lakini wasia huo huwa ni kama giza totoro kwa watoto wengi ambao hujiunga na chuo kikuu au inshani yoyote yule ambaye ameamua kufanya kazi ya kanisa ambayo amlipo yake hayana onekani kwa hivyo akifanye ni ngamba aliye na moyo. Kwani wazizi huwa hawachoki kuwa kuwakumbusha yote maovu ambayo huonekana kwa vijana waliojiunga na chuo kiuu wanao. Najua wajulizwa maswali juu ya haya ninayo yaongea hapo ila mimi mwenyewe niko na simulizi ambayo endapo nitakusimulia utashanga kwani mimi nikati ya kijana ambaye nilifaulu kujiunga na chuo kuu na kuwa moja wapo wa wale walio ya sahau ya kina mama na kupwepa makao ya kina mama wakati walikozo ilikuyakwepa maneno ya wazazi ya kila siku yalikuwa kama salama ya waumini wa eneo la pwani wanaofika miskitini zaidi ya mara mbili kwa ajili ya sala.
Chuo kikuu kilinitenganisha mimi na jalali wangu ila kwa upendo alionao kwangu hakuchoka kulinda hadi wakati huu ambao na kamilisha masomo yangu. Kwani kuna wakati nilikuwa na sahahu kuna sala na pia matendo yangu yalikuwa kinyume na yale kama mtu menyewe utu hangeweza kunyatenda. .
Linijuinga na vijana wenzangu ambao tulijifunza uraibu mbalimbali na kusahau kuwa mazoea yana tabu. Baada ya muda usio pungua mwaka nikijiona siwezi kufanya kitu mbila ya kuamwashwa kinywa nasio kiamswa kinywa kile unachozoea ila wale wanachama na wanaolewa ninacho kisema husema kufungua “lock”iliniwezea kuhudhuria darasa la asubuhi endapo siku hiyo nilkuwa na darasa la asubuhi.
Licha ya hayo niliajua mapenzi na mapenzi katika chuo kikuu kumbea ni simu ambaya hata kwa maziwa huwezi pona. Nilikuwa kati ya wale ambao machozi yaliwa ndodoka endapo kulikuwa na nyimbo za kimapenzi zikimbwa sehemu yoyote ile na akivuta twasuira juu ya hali ya mapenzi yake yalivyo.
Ni mengi sana ambayo nimeyaona katika maisha yangu nikiwa chuo kikuu kwa hivyo ningewasihi wale wote ambao wanaendelea na masomo na wale wanajiunga na chuoni wayasikizea ya wazizi.
good job
ReplyDeleteHongera
ReplyDelete🔥🔥🔥🔥
ReplyDeleteamaizing
ReplyDelete