Posts

Showing posts from November, 2022

AUSHI YA CHUO KIKUU

 Ni furaha ya kila mzazi ufikapo wakati wa mwanawe kumaliza masomo ya shule ya upili na kujiunga na masomo ya taluma. Masomo hayo hapa inchini hufunzwa katika chuo cha kiufundi au kiuu. Wakati huu huwa ni wakati ambao kila mzazi huwakitesha kitako watoto wao juu ya maisha na nijisi ipi ambayo kama mtoto wa kike au mue ni nijsi ipi anapwaswa kujilinda na kile ambacho ni kii kwake. Lakini wasia huo huwa ni kama giza totoro kwa watoto wengi ambao hujiunga na chuo kikuu au inshani yoyote yule ambaye ameamua kufanya kazi ya kanisa ambayo amlipo yake hayana onekani kwa hivyo akifanye ni ngamba aliye na moyo. Kwani wazizi huwa hawachoki kuwa kuwakumbusha yote maovu ambayo huonekana kwa vijana waliojiunga na chuo kiuu wanao. Najua wajulizwa maswali juu ya haya ninayo yaongea hapo ila mimi mwenyewe niko na simulizi ambayo endapo nitakusimulia utashanga kwani mimi nikati ya kijana ambaye nilifaulu kujiunga na chuo kuu na kuwa moja wapo wa wale walio ya sahau ya kina mama na kupwepa makao ya ...