SHULUHU YA AJIRA MOMBASA
Wakaazi wa kaunti ya Mombasa baada you a awamu ya pili ya uwongozi wa msatafu raisi Uhuru Kenyatta a na Raisi William Ruto aliyekuwa naibu wake , uwongozi wao ndio ulibadili mikakati ya shughuli za badari ya Mombasa na kusababisha ukosefu wa ajiri katika kaunti hiyo.
Mikakati walioyo ibadi wakati huo ni kama uchukuzi wa mzingo yote inayotoka badari hiyo kubebwa na reli ya kisasa. Hali iliyochanjia sana ukosefu wa ajira kwa watu wasekta mbalimbali. Baada ya awamu hiyo kuisha na uchanguzi kufanyika Raisi William Ruto aliregesha mamlaka ya badari tena Mombasa . hali ambayo itawezesha ongezeko la ajria kwa waakazi wa Mombasa .
Kutokana na ajira amabayo watu wamekuwa akililia kwa siku nyingi kwa serekali ya kitaifa ila ikawa kama mpinga gita alijihushisha na kupingia mbuzi gitaa hilo. Viongozi na mashirika ya kutetea haki za binadhamu hawakuwachwa nyuma kwani ni jukumu lao kuhakikisha kwamba sereka inawajibika vilivyo kuimarisha maisha ya insani wa kisiwa cha Mombasa. Kwani madereva,wamiliki wa mighahawa na wale wanaojihisha na ajira ya kimwili (ukahaba) nao watanufaika sana.
Licha ya hayo pia kuna maendeleo ambayo yatonekana katika kaunti hiyo kutokana na ajira kwa watu kwa sababu ya ulipipaji ushuru kwa serekali kwa kaunti utakuwa mzuri ambao utatokana na uwezo wa watu kujihusha na biashara. Sababu kuu ya waakazi hao kufanya biashara ni kwa kuwa kuna urahisi wa mtaji ambao wanaweza kupata kutona na akiba zao za malipo yao ya kutwa na mwezi.
Ushuru huo pia utarahisisha kupanua sekta ambazo ni muhimu kwa watu wa kaunti hiyo. Sekta hiyo ni kama sekta ya afya,usafiri na nyinginezo.
Mombasa tiba Ya Maisha Yapatikana
ReplyDeleteKuntu mkuu
ReplyDelete๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฏ
ReplyDeleteTumshukuru nani kwa haya yote
ReplyDeleteUkweli mtupu๐
ReplyDelete๐๐๐
ReplyDeleteGood ๐๐
ReplyDeleteGood
ReplyDeleteSafi
ReplyDeleteAngalia sana sarufi na maneno
ReplyDeleteSwadakta
ReplyDeleteKazi nzuri
ReplyDeleteGood work, very informative
ReplyDelete⭐⭐⭐
ReplyDelete